Posts

Showing posts from July, 2018

HAKIKISHA UMEISOMA HII.

HAKUNA MTU ASIYEWEZA KUFANIKIWA KIUCHUMI AKIAMUA Siku kadhaa zilizopita nilikutana na hawa kina dada wawili mtaani (mitaa ya Sinza) wakiwa wamepumzika baada ya kazi kubwa ya kutembeza mboga za majani mtaani. Walikuwa wamechoka hakika na walikuwa wamekaa mahali dukani wakiwa wameagiza zao soda baridi kushushia kidogo na labda kulainisha koo kwa sababu ya kazi nzito ya kutembea juani na huku ukiita kwa sauti: "Haya jamani mchicha, mnafu, matembele, mchichaaaaa". Niliwasalimia na kukatisha safari yangu   ili nikae nao pia ili niendelee kujifunza maisha ningali hapa duniani. Ama baada ya salamu na maneno mawili matatu ya "Breaking the Ice" nikaanza kureason nao mambo ya biashara na hasa biashara yao. Mimi: Hebu niambieni nyinyi changamoto yenu hasa ni nini kwenye hii biashara? Mmoja wao: Dah kakangu changamoto ni nyingi mno lakini kubwa ni kwamba watu siku hizi wanaogopa kula mboga za majani si unasikia sijui serikali wanasema mboga zisilimwe sehemu za maji yeny...

KAMA UMERIDHIKA DUNIA HII BORA UFE

"IF YOU DON'T HAVE AMBITION YOU SHOULDN'T BE ALIVE" ("KAMA WEWE NI MTU WA KURIDHIKA KIRAHISI NA ULICHONACHO HUPASWI KUWA HAI") Ijumaa saa nne asubuhi. Mwezi October 2011. Naendesha gari kuelekea Bagamoyo. Njiani naburidika na sauti za waimbaji wa Hillsong na wimbo wao "LET THE PEACE OF GOD REIGN". Aisee. Bonge moja la wimbo. (Utafute kama hujawahi kuusikia utaniambia...) So.. Huku nikiwaza mambo makubwa yaliyoko mbele yangu baada ya kuanza maisha ya ujasiriamali. Na pia hapo nikiwa ninawaza mambo niliyojifunza katika ujasiriamali so far. Nawaza  hatua niliyoanza kupiga. Nawaza maisha yangu ya miaka mingi ijayo na wale Mungu atakaonipa. Hapo ni mwaka mmoja toka niache kazi yangu ya kuajiriwa Stanbic Bank Headquarters, Dar es Salaam. Jengo zuri sana pale Kinondoni limezungukwa na ofisi za ubalozi wa Ufaransa, apartments za Holiday Homes, Ubalozi wa Urusi na makazi ya balozi wa Uingereza. Aisee mahali pazuri hakika. Kazi nzuri ambayo niliipend...

FORM SIX NATIOANAL EXAMINATION RESULTS (ACSEE RESULTS 2018) |

Image
Matokeo Kidato Cha Sita 2018 FORM SIX NATIOANAL EXAMINATION RESULTS (ACSEE RESULTS 2018) | Matokeo Kidato Cha Sita 2018 CLICK HERE TO SEE FORM SIX RESULTS 2018(ACSEE) LINK 2: CLICK HERE CLICK HERE Link 2: CLICK HERE TO SEE THE TEACHERS COLLEGES RESULTS (MATOKEO UALIMU 2018)